Breaking News

Your Ad Spot

Oct 14, 2010

JENGO LA OFISI YA MAKAMU WA RAIS, LAZINDULIWA LEO ZANZIBAR

RAIS Amani Abeid Karume, akizungumza baada ya kuzindua jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais lililopo eneo la Tunguu, Zanzibar, jana. Kushoto ni  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Ruth Mollel na kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muhammed Seif Khatib. 

RAIS Amani Abeid Karume, akizindua Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais, lililopo eneo la Tunguu, Zanzibar, jana. Kulia ni  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Ruth Mollel.  
RAIS Amani Abeid Karume, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muhammed Seif Khatib (kulia) katika sherehe za uzinduzi wa  Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais, lililopo eneo la Tunguu, Zanzibar, jana. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Ruth Mollel na  Wapilui kulia ni Mke wa Rais, Mama Shadya Karume.(Picha na Ali Meja).

RAIS Amani Abeid Karume, akiwa katika picha ya pamoja na wakandarasi wa jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais, Kitunguu mjini Zanzibar, baada ya uzinduzi wa jengo hilo, jana.(Picha ZOTE na Ali Meja).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages