Wahitimu wakisubiri kutunukiwa vyeti katika mahafali hayo leo. Jumla ya wahitimu 211 wametunukiwa vyeti.
Mary Bujiku (anayetabasanm), akiwa miongoni mwa wahitimu hao
Mary Bujiku akipewa zawadi kwa kuongoza katika somo ya Biashara 'Commerce'
Kisha akapata tuzo tena kwa kuongoza katika somo la Kimombo 'English'
Halafu akapata tuzo ya nyingine kwa kuongoza somo la uraia 'Civics'
Kisha akapata cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne
MFANYAKAZI wa Idara ya Uhasibu katika Kampuni ya Uhuru Publications Ltd (UPL), Laurencia Masota akimpongeza mtoto wake, Mary Bujibu kwa kuhitimu kidato cha nne, katika mahafali ya 24 ya Shule ya sekondari ya St, Anthony, Mbagala, Dar es Salaam, yaliyofanyika shuleni hapo, leo. Mary ametunukiwa zawadi kwa kuongoza katika masomo ya Biashara, Kingereza na Uraia katika jumla ya wahitimu 211 waliopewa vyeti katika mahafali

Mwalimu wake wa Chekechea, Sista Generosa naye alikuwepo katika kumpongeza Mary Bujibu.
Mary Bujiku akiwa katika picha ya pamoja na mama yake ndugu na marafiki kibao
Kikundi cha burudani kikitumbuiza kwa matarumbeta wakati wa mahafali hayoMary Bujiku akitoka katika ukumbi baada ya kujizolea tuzo kwa kufanya vizuri kartika masomo matatu, na kupata cheti katika mahafali hayo.
000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000
FLORIAN MUJWAHUZI NAYE AKAMEREMETA KATIKA MAHAFALI HAYO
Florian Mujwahuzi akiwa katika majoho yake, katika mahafali ya 24 ya kidato cha nne ya Shula ya Sekondari ya St. Anthony, Mbagala, Dar es Salaam, leo.
Mzee Mujwahuzi akimpongeza mtoto wake, Florian. Kulia ni Mama Mujwahuzi.
Florian akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake katika mahafali hayo.
000000000000
Chachandu Daily inawatakiwa kila la hkeri wahitimu hao.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269