Breaking News

Your Ad Spot

Oct 26, 2010

VODACOM YAWEKA HADHARANI MIKOKO INAYOSHINDANIWA

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, leo imeweka hadharani ilionyesha magari 100, watakayopewa washindi wa shindano la 'shinda mkoko' linaloendeshwa na kampuni hiyo, baada ya kuyaleta kwenye Ofisi za kampuni hiyo, mtaa wa Ohio, Dar es Salaam. Vodacom imelazimika kuonyesha magari hayo kuondoa uvumi kwamba magari hayo yahakuwepo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages