Breaking News

Your Ad Spot

Oct 2, 2010

MFANYAKAZI WA UHURU AMUONA WA DAILYNEWS

MENEJA Matangazo wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd (UPL), wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Brighton Kilinga, akimbusu mke wake, Martha Mtangoo, baada ya kufunga  ndoa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kijitonyama, Dar es Salaam, leo. Mke ni mfanyakazi wa Tanzania Standard Newspaer, wachapishaji wa magazeti ya Daily News, Sunday News na Habari Leo,  kituo cha Dodoma. Wakati Mume ni Mzaliwa wa  mkoa wa Kagera, mkewe Dodoma. Chachandu Daily Blog inawatakia maisha amema na marefu katika ndoa yao.

1 comment:

  1. Ama kweli wamependeza, twawatakia maisha mema ya upendo na furaha

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages