Breaking News

Your Ad Spot

Oct 5, 2010

CHENGE ATINGA KIZIMBANI LEO KUJITETEA SHITAKA LA KUHUSIKA NA AJALI YA BAJAJI NA GARI LAKE ILIYOSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI

ALIYEKUWA waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, akiwa katika chumba cha mawaili, katika mahakama ya Kinondoni, Dar es Salaam, leo, kabla ya kuapanda kizimbani kujitetea kuhusiana na shitaka dhidi yake la kudaiwa kuhusika na ajali iliyosababisha vifo vya watu wawili waliokuwa katika Bajaji,

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages