Breaking News

Your Ad Spot

Oct 7, 2010

MOROCCO YATUA DAR NA CHAMALKH WAO WA ASENAL YA ENGLAND

WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Morocco, wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, leo. Kulia ni mshambuliaji wa timu hiyo, anayechezea Asenal ya England, Marouane Chamakh na kushoto ni, Youssef Hadji ambaye pia ni wa Kimataifa. Morocco wanashuka dimbani jumamosi hii, kumenyana na Taifa Stars  katika mechi ya kuwania kucheza fainaali za michuano ya Kombe ya Mataifa ya Afrika zitakazorindima mwaka 2012.

1 comment:

  1. Oooh, presha ikipanda wengine inashuka, lakini tusiogope wao waweze sisi kwanini tushindwe!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages