Breaking News

Your Ad Spot

Oct 15, 2010

NEC YASEMA MATOKEO HAYATATANGZWA NDANI YA SIKU MOJA BAADA YA UCHAGUZI KAMA BAADHI YA VYOMBO VILKIVYORIPOTI

.Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji mstaafu Lewis Makame,  akizungumza na na waandishi wa habari leo mjini Dar es Salaam, ambapo maezungumzia mambo kadhaa ikiwemo kukanusha kwamba matokeo ya uchaguzi mkuu yatatoka siku moja baada ya uchaguzi. kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Rajabu Kiravu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages