Breaking News

Your Ad Spot

Oct 6, 2010

RIDHIWANI ATINGA MKURANGA KUNADI CCM

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete (katikati), akihutubia katika mkutano wa ndani wa kampeni za kuipatia ushindi wa kishindo CCM, juzi mjini Mkuranga.Kushoto ni Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani, Abdallah Ulega na Miraji Abdallah ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mkuranga.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages