Breaking News

Your Ad Spot

Oct 28, 2010

WANGALIZI WA UCHAGUZI KUKUTANA NA ZEC LEO

Makundi ya waangalizi wa uchaguzi, waliowasili kiwa nyakati tofauti mjini Zanzibar, wanakutana na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) katika ukumbi maalum uliopo eneo la Hotel ya Bwawani mjini Zanzibhar. Chachandu Daily inatarajia kukurushia habari katika picha itakavyojiri.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages