Breaking News

Your Ad Spot

Oct 13, 2010

WAZEE WA EAST AFRICA YA ZAMANI WACHARUKA DAR; NI BAADA YA JAJI KUJITOA KESI YAO Y MADAI YA MALIPO

Baadhi wakijilaza mbele ya gari la polisi wa kutuliza ghasia la maj ya muwasho

Wakisali swala ya Dhuhuri poapo hapo barabarani mbele ya mahakama kuu

MSAJILI wa Mahakama, Francis Mutungi, akiwatanabahisha wadai hao wa iliyokuwa Afrika Mashariki, kipi kitafuatia baada ya Jaji wa Mahakama Kuu, Njengafibili Mwaikugile kujitoa kesi yao.
BAADHI ya wafanyakazi wa Mahakama Kuu wakiwa ndani ya geti wakati vurumai za wadai hao zilipokuwa zikiendelea nje ya jengo kwenye barabara ya Kivukoni

WAZEE waliomo katika madai hayo, wakila chakula cha mchana barabarani, nje ya mahakama kuu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages