Breaking News

Your Ad Spot

Nov 10, 2010

DK. BILAL ATINGA DOM KWA MARA YA KWANZA AKIWA MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwasalimu wananchi wa mkoa wa Dodoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Dodoma leo Nov 10, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kufanya mkoani hapa tangu apate wadhifa huo. Kiongozi huyo atakuwa mkoani hapa kuhudhuria mikutano ya CCM katika ngazi za Kamati Kuu na Halmshauri Kuu na kisha sherehe za kuapishwa wabunge sambamba na uteuzi wa Waziri Mkuu. Picha na Muhidin Sufiani

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages