Breaking News

Your Ad Spot

Nov 10, 2010

JK ATUA DOM KWA MARA YA KWANZA TANGU KUMALIZIKA UCHAGUZI MKUU

Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimu baadhi ya watoto waliokuja kumlaki katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo asubuhi.Rais Kikwete anatarajiwa kuongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM katika ukumbi wa White House mjini Dodoma. 
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wakazi wa mji wa Dodoma waliojitokeza na kumpa mapokezi ya furaha katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo asubuhi(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages