.

HADI SASA CUF WAMEENDELEA KUTANDA LANGO LA BWAWANI HOTEL, LAKINI KWA STAILI YA KUWAFANYA CHAMBO WANAWAKE

Nov 1, 2010

WANAWAKE wakiwa wametangulizwa kuziba lango kuu la Hoteli ya Bwawani, ili kuwa kikwazo kwa Polisi wa kutuliza ghasia kuwaondoa wafuasi  wa Chama Cha CUF waliotanda kwenye lango hilo, kushinikiza Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imtangaze mgombea wa  chama hic ho Seif Shariff Hamad mshindi.

2 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª