Breaking News

Your Ad Spot

Nov 19, 2010

LEO NI SIKU YA WANAUME DUNIANI

Mama akishughulika na kazi ya kupika jikoni, huku Baba akiwa amepozi kitini, mtoto akilia nyuma yake!, haya siyo malengo ya Siku ya Mwanaume Duniani.
=======================
Leo ni siku ya Wanaume Duniani (IMD) ambayo huadhiishwa kila Novemba 19 ya kila mwaka.
kwa mujibu wa kumbukumbu siku hii iianza rasmi Novemba 19, mwaka 1999 na Mwanamume mmoja aitwaye Jerome, katika visiwa vya Trinidad and Tobago. Harakati ziizolengwa  ni kusaidia wanaume wenye matatizo yanayotokana na magonjwa, ukosefu wa kazi na si kutafuta usawa dhidi ya wanawake kama ilivyo kwa Siku ya Wanawake Duniani.


1 comment:

  1. Hii siku naona ilishapotea kwenye diary yangu kichwani.
    Taswira niliyoiona hapo kwenye picha, haileti matumaini ya kuwapongeza wanaume. Wanaitaji kubadilioka kidogo tu

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages