Breaking News

Your Ad Spot

Nov 27, 2010

MAADHIMISHO YA MIAKA 5O YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) YAANZA

Huu ndio viongozi wa Chuo Kikii cha Dar es Salaam, hadi kufikia Rwekaza Mukandara wa sasa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ambaye pia ni Rais wa wanataaluma wa chuo hicho, Waziri Mkuu wa zamani, Jaji mstaafu, Joseph Sinde Warioba, alipowasili kwa ajili ya kuzindua rasmi maadhimisho hayo, katika ukumbi wa Nkrumah. Wengine kutoka wapili kushoto ni, Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa Rwekaza Mukandara na Mkuu wa UDSM, Balozi Fulgence Kazaura. Kulia ni mmoja kati ya wanafunzi 14 wa kwanza kusoma kilipoanzishwa chuo hicho 1961, Mganda, Kakuba Gerald. 
Baadhi ya wanafunzi wa UDSM wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa maadhimisho hayo,huku wengine akiwa na bango la ujumbe waliotaka umfikie Pinda
Mwanamuziki mahiri wa kike, Karola Kinasha akiimba kwa hisia kali, wimbo maalum wa miaka 50 ya UDSM,
Mwanamuziki mahiri kwa mashairi, Mrisho Mpoto akiimba shairi maalum la kusherehesha uzinduzi huo akiwa na bendi yake ya Mjomba Band

1 comment:

  1. Usanii wa mpoto bwana, pale watu walikuwa wakijiuliza, anapiga kinanda au anaandika mashairi...yah, lakini jamaa namkubali, ni watu wanaojali kazi zao, na ujumbe wake ni makini na wenye hekima kwa kwenye kufikiri!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages