Breaking News

Your Ad Spot

Nov 18, 2010

PINDA AAPISHWA DODOMA

*Dk. Shein, Seif Shariff, Seiff  Idd,Dk. Bilal wahudhuria
*Sumaye, Lowassa, Malecela ndani
*Profesa Lipumba, Mbatia pia walikuwepo

RAIS jakaya Kikwete akimwapisha Mbunge wa Katavi, Mizengo Pinda kuwa Waziri Mkuu, katika sherehe iliyofanyika leo, Ikulu Ndogo ya Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma. Wa tatu kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo.

RAIS Jakaya Kikwete, akiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wa pili kulia), baada ya kumwapisha, jana. Wengine kutoka kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Sheni,  na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi. 
RAIS  Kikwete, Waziri Mkuu  Pinda, Makamu wa Rais Dk. Bilal  na Rais Mstaafu Ali Hassani Mwinyi wakiwa na waziri wakuu wastaafu, kutoka kushoto, John Malecela, Edward Lowassa na Frederick Sumaye

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages