Mwanamke akichota maji ya ubwete, katika bomba lililokatwa pembeni ya mtaro wa maji machafu, eneo la Magomeni Agentina, jijini Dar es Salaam. Mtindo huu wa kukata mambomba husababisha walengwa kutofikiwa na maji na kudhani yamekatika.
Kulia ni Kina Baba wakisaka yalipolazwa mambomba ya maji katika eneo hilo, sijui ni kwa ajili ya kuyafanya nini utajaza mwenyewe pengine ni mafundi wa Dawasco mimi sijui
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269