Breaking News

Your Ad Spot

Nov 11, 2010

SEMINA YA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USAFI NA MAZINGIRA YAFANYIKA

Ofisa Afya na Mazingira wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Anyitike Mwakitalima akifungua semina hiyo  leo katika hoteli ya Coral Beach, Masaki jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mwendeshaji wa mradi wa WSP World Bank, Kaposo Mwambuli akitoa ufafanuzi wa mada zilizokuwa zikizungumzwa katika senmina hiyo. 
===========================
zifuatazo ni picha za wadau wakijadiliana katika semina hiyo



==============================================================================
Katikia semina hiyo ambayo ni  sehemu ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Matumizi ya Choo Duniani na Wiki ya Unawaji Mikono kwa Maji na sabuniwadau  yatakayofanyika Novemba 19, mwaka huu, walidajili mada mbalimbali kuhusu usafi wa mazingira na vyoo,

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages