Breaking News

Your Ad Spot

Nov 11, 2010

ZAWADI YA JOGOO KWA MKE WA RAIS

 MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya jogoo aliyopewa na wazazi wa kijana Abbas Maluka wanaoishi kijiji cha Nangalu, Lindi Vijijini. Abbas anasoma  mwaka wa kwanza katika Chuo cha Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam(DIT). Mama Salma anamsaidia kijana huyo kumlipia ada ya chuo kutokana na wazazi wa Abbas kukosa uwezo wa kulipa. Makabidhiano hayo yalifanyika leo katika ofisi za WAMA, mjini Dar es Salaam,jana. (Picha na John Lukuwi).
  

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages