Breaking News

Your Ad Spot

Nov 4, 2010

TEMCO YATOA TAMKO LA AWALI UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa  Kamati ya Uangalizi wa Uchaguzi Tanzania (TEMCO), Maryam Abubakari akizungumza na waandishi wa Habari, leo mjini Zanzibar, wakati kamati hiyo ilipokuwa ikitangaza maoni yake ya awali kuhusu mwenendo wa Uchaguzi Mkuu ulivyofanyika Zanzibar. Katika uchaguzi huo, Mgombea wa CCM, Dk. Ali Mohamed Shein aliibuka na ushindi wa asilimia 50.1 ya kura zote sahihi  akifuatiwa na Mgombea wa CUF, Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Shariff Hamad aliyepata asilimia 40.1 ya kura hizo. Kushoto ni, Mratibu wa TEMCO mkoa wa Mjini Magharibi, Bashiru Ally.

1 comment:

  1. Twashukuru kwa kuwa karibu na uchaguzi huo! Ila najiuliza hizo kura zilizoharibika vipi?

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages