.

BAADHI YA KAZI ZA RAIS KIKWETE EO

Dec 14, 2010

RAIS Jakaya Kikwete akimkaribisha Balozi mpya wa Russia hapa nchini, Alexander Dannikh, balozi huyo alipowasilisha hati za utambulisho, Ikulu mjini Dar es Salaam 
RAIS Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Italia hapa nchini,  Perluigi Velardi, Ikulu mjini Dar es Salaam 
RAIS Jakaya Kikwete akimwapisha Jaji Salome Kaganda, kuwa  Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Serikali, Ikulu mjini Dar es Salaam

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช