Breaking News

Your Ad Spot

Dec 14, 2010

MTOTO AZALIWA HANA PUA

MTOTO wa kike aliyezaliwa Desemba 11, mwaka huu hospitali ya Rufani Mbeya, Kitengo cha Wazazi Meta, mjini Mbeya huku akiwa hana pua, jicho la kushoto na mdomo wake wa juu ukiwa umegawanyika.

PIX-2.HILDA Mavazi akiwa amembeba mwanae wa kike, aliyemzaa juzi katika hospitali ya Rufani ya Mbeya, kitengo cha Meta jijini Mbeya huku akiwa hana pua, jicho la kushoto na mdomo wake wa juu ukiwa umegawanyika.

(Picha zote na Solomon Mwansele)

Mwisho..........

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages