Breaking News

Your Ad Spot

Dec 10, 2010

JK AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA UHURU

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete, akiwapungia mkono wananchi wakati akiingia kwa gari maalum kwenye sherehe hiyo katika Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Majaeshi, Jenerali Devis Mwamunyange.
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Kikwete akikagua gwaride katika sherehe hiyo
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akisalimiana na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, katika sherehe hiyo. Kuhsoto ni Mama Anna Mkapa.
MAKAMU wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, wakati wa sherehe hiyo.

1 comment:

  1. Sisi hii hatukuiona tungeionaje wakati tulikuwa hatuna umeme! Ahsante kwa kutuonyesha mkuu!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages