.

ZAMBIA YALALA 2-1 KWA ETHIOPIA

Dec 7, 2010

WACHEZAJI wa Ethiopia wakimpongeza mwenzao  Tesfate baada ya kupachika bao kwa kwanza dhidi ya Zambia, katika mechi ya robo fainali ya  Tuskehallenge Cup, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, leo

1 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª