.

VODACOM YAIPIGA TAFU CECAFA, KOMBE LA TUSKER CHALLENGE CUP

Dec 7, 2010

Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza(kulia)akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 190 Katibu Mkuu wa Cecafa Nicholas Musonye,kwa udhamini wa shindano la kombe la Tusker,katikati  Makamu Rais wa TFF Athumani Nyamlani.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช