.

MAHAKAMA KUU YAZINDUA MFUMO WA KUREKODI MASHAURI MAHAKAMANI

Dec 6, 2010

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akibofya katika komyuta, kuzindua mfumo wa kurekodi mashauri kwa kompyuta na tovuti ya Mahakama Kuu ya Tanzania, katika sherehe ya uzinduzi huo iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mahakama Kuu mjini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Jaji Mkuu, Augustine Ramadhani, Jaji Kiongozi, Abdallah Rheno Fakih Jundu na Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani. 

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช