.

TUSKER CHALLENGE CUP: KENYA NA SUDANI ZACHMESHA

Dec 6, 2010

Kenya yachapwa na Uganda, Sudan nayo na Ivory Coast
GUY Landry wa Ivory Coast (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa Sudan Mohamed Abdelmonem, timu hizo zilipomenyana jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, mechi ya Kombe la Tusker. Sudan ililala kwa  3-0  
Shabiki wa Sudan akitazama mechi kwa mshangao baada ya timu yake kutunguliwa 3-0 na Ivory Coast.
BEKI wa Harambee Stars ya Kenya, Christopher Litswa (kushoto), akijaribu kumdhibiti mshambuliaji wa The Crane ya Uganda,Matovu Sula, timu hizo zilipomenyana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, katika mechi ya Kombe la Chalenji, jana.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช