.

MARAIS WA NCHI ZA JUMUIA YA ASFRIUKA MASHARIKI WAKUTANA NGURDOTO, ARUSHA

Dec 3, 2010


Wakuu wa nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki wakiwa pamoja  kabla ya kuanza mkutano wao katika hoteli ya Ngurdoto mjini Arusha leo asubuhi. Kutoka kushoto ni Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, Mwai Kibaki wa Kenya, Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Pierre Nkurunzinza Burundi (Picha na Freddy Maro)

1 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª