.

NKURUNZINZA MWENYEKITI MPYA WA JUMUIA YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Dec 3, 2010

Mwenyekiti wa Jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki anayemaliza muda wake Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi uenyekiti wa jumuiya hiyo kwa Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakati wa mkutano wa kumi na mbili wa kilele wa wakuu wa nchi ya jumuiya hiyo uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha jana

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช