Breaking News

Your Ad Spot

Jan 7, 2011

NGELEJA AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA TANESCO LEO

WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja akimsikiliza mwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Peter Ngumbulu, wakati wa mkutano wake na wafanyakazi wa shirika hilo, Ubungo mjini Dar es Salaam leo
Baadhi ya wafanayakazi wa Tanesco waliohudhuria mkutano huo, leo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages