WACHEZAJI wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia, baada ya mechi kumalizika wakiwa na ushindi wa bao moja, dhidi ya Polisi, katika mechi ya kufuzu kuingia nusu fainali ya Ligi ya Vijana chini ya miaka 20 (U20) kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, leo kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Ruvu ilifuzu kuingia nusu fainali kwa bao 1-0.
Beki wa Polisi Dodoma, Bakari M. Bakari akiwa hoi baada ya mechi
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269