'Movie' ya wachezaji Jackson Kanywa wa Kagera Sugar (kijani) na Salum Saidi wa Mtibwa Sugar wakati wa mechi hiyo.
Hadi dakika 90 za mechi hiyo, ya Ligi ya Vijana chini ya miaka 20 (U20) wa timu zinazoshiriki ligi kuu Tanzania Bara, Kagera ilinyukwa mabao 2-0
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269