Breaking News

Your Ad Spot

Jan 11, 2011

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU WAENDA MAHAKAMANI KUPINGA DOWANS KULIPWA MABILIONI

MKURUGNEZI wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Kiwanga, akizungumza na waandishi wa habari, leo mjini Dar es Salaam, kuhusu uamuzi wa kwenda mahakama kuu kuzuia serikali kulipa Dowans mabilioni ya fedha kama ilivyoamriwa na Mahakama ya Kimataifa ya Biashara. Kushoto ni Mkurugenzi wa Chama Cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania (TAMWA)Ananilea Nkya. 
===============================
Habari kwa ufupi
KITUO cha Sheria na Haki za Bianadamu (LHRC) kimeungana na baadhi ya wanaharakati kwenda Mahakama Kuu ya Tanzania leo, kuzuia amri ya Mahakama Biashara ya Kimataifa ya kutaka Tanesco ilipe Dowans Sh. bilioni 97.

Hatua hiyo ilitangazwa leo na Mkurugenzi wa kituo hicho,  Francis Kiwanga katika mkutano na waandishi wa habari, katika Ofisi za kituo hicho, Kijitonyana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages