Nahodha wa Ruvu Shooting FC, Frank Msese akionyesha kwa furaha kombe la ushindi baada ya kukabidhiwa kufuatia timu hiyo kuibuka Bingwa wa Uhai Cup, leo jioni, baada ya kuwafunga wenzao wa Ruvu JKT, mabao 2-1, katika mechi ya fainali, kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo
Mkurugenzi wa Mpango wa Kudhibiti Malaria (NMCP), akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Ruvu Shooting huku akiwa ameshika kombe lao ka ushindi baada ya kukabidhiwa.
Kufuatia ushindi huo, Ruvu Shooting, imejizolea sh. milioni 1.5
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269