Breaking News

Your Ad Spot

Feb 21, 2011

AZAM YASHIKA USUKANI WA LIGI KUU YA VODACOM, NI BAADA YA KUINYUKA JKT RUVU 2-0

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Mrisho Ngassa, akichuana na beki wa Ruvu JKT,  Damas Makwaya,  timu hizo zilipomenyana jana, kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom. Azam iliibuka na ushindi wa mabao 2-0. Ifuatayo ni 'move'  hiyo kati ya Ngassa na Makwaya.(Picha na Chachandudaily.blogspot.com)
1
10 
11 
12 
13 MWISHO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages