Breaking News

Your Ad Spot

Feb 19, 2011

MABOMU GONGO LA MBOTO; PINDA AKAGUA ATHARI , ATEMBELEA HOSPITALINI KUWAFARIJI WAATHIRIKA

Waziri Mkuu, Mizengo PInda akipata maelezo  kutoka kwa Kamanda wa Kikosi cha JWTZ cha Gongo la Mboto Kanali  D. A. Mwanjile  (katikati) kuhusu milipuko ya mabomu  iliyotokea kwenye kambi WTZ  ya Gongo la Mboto, Dar es Salaam,  wakati alipotekmbelea kambi hiyo, leo. Kulia ni Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Davis  Mwamunyange(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Mizengo PInda akimpa pole Bw. Abbas Issa wakati alipowatembelea majeruhi wa milipuko ya mabomu iliyotokea kwenye kambi ya JWTZ ya Gongolamboto jijini Dar es Salaam  leo (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages