Breaking News

Your Ad Spot

Feb 19, 2011

MICHUANO SOKA YA WANAWAKE MKOA WA DAR ES SALAAM, MABINGWA WAINGIA MITINI

TIMU ya Uzuri Queens ya Manzese,imejipatia pointi tatu za ubwete, baada ya bingwa mtetezi wa  Ligi ya Soka ya Wanawake, mkoa wa Dar es Salaam, iliyopita,  Mndela Queens ya Mburahati, kuingia mitini na kutofika kabisa kwenye uwanja wa Karume, kuchuana na Uzuri Queen katika mchezo wa ligi hiyo, uliokuwa upigwe leo kwenyea uwanja huo. Pichani, wachezaji wa Uzuri wakifanya mazoezi baada ya kuwakosa washindani wao .Baadhi ya sababu ambazo Mndela imeiambia Blogu hii, ni kwamba timu yao haikuweza kuingia kilingeni kwa sababu haina wachezaji akiwemo kipa wao ambaye hupo Songea. (Picha na Chandudaily.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages