Breaking News

Your Ad Spot

Feb 18, 2011

JESHI LAKUTANA NA WAHARIRI NA WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI KUELEZA UNDANI WA MILIPUKO YA MABOMU KUTOKA MAGHALA YA SILAHA YA JESHI HILO, KAMBI YA GONGOLAMBOTO

MKUU wa  Usalama na Utambuzi katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Jenerali Paul Mella, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari, Makao Makuu ya Jeshi hilo mjini Dar es Salaam, leo, kutoa taarifa kuhusu milipuko ya mabomu ya Gongo la Mboto. Kulia ni  Mkaguzi Mkuu wa JWTZ,  Brigedia Jenerali Leonard Mdeme. 
Wahariri wakiwa kwenye mkutano huo na wakuu hao waandamizi wa JWTZ 
Baadhi ya wahariri wakiwa nje ya ukumbi baada ya mkutano huo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages