Breaking News

Your Ad Spot

Feb 7, 2011

RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA UCHAGUZI YA EU

ALIYEKUWA kiongozi wa timu ya waangalizi wa Umoja wa Ulaya katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Oktoba 31 mwaka jana, David Martin, akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete ripoti ya timu yake, Ikulu, mjini Dar es Salaam,leo (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages