Breaking News

Your Ad Spot

Mar 17, 2011

MNUSO WA KCB

BALOZI wa Rwanda hapa nchini, Fatma Ndagiza, akibadilishana mawazo na viongozi wakuu wa benki ya  KCB, katika hafla ya chakula cha jioni kwa viongozi wa KCB na wafanyabiashara wa Afrika Mashariki, janai, kwenye jengo la Ubalozi wa Kenya hapa nchini, Harambee Plaza, mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa KCB, Joram Kiarie na kulia ni Mwenyekiti wa benki hiyo, Dk. Edmund Mndolwa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages