Breaking News

Your Ad Spot

Mar 16, 2011

WIKI YA MAJI YAANZA DAR; MRADI WA MILIONI 410 WAZINDULIWA MADALE

. Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Yussuf Mwenda, akimtwisha ndoo, mkazi wa Madale, Dalin Mbilili, katika uzinduzi wa mradi wa maji wa eneo hilo na maeneo ya Kulangwa na Kisauke katika
Manispaa hiyo, leo. Mradi huo wa tangi la maji, umekamilika kwa asilimia 75 ukiwa umegharimu hadi sasa sh. milioni 410.

2 comments:

  1. MAJI Imekuwa shida, sasa hizi wiki za maji zinasaidia nini? Labda wiki hii itafanya kitu!

    ReplyDelete
  2. Mimi nina wasiwasi kama kweli wiki hii itasaidia sana. Maana Wakati maadhimisho hayo yakianza jana, wakazi wa Kawe, Dar es Salaam, hawapati maji safi na salama katika mabomba ya nyumbani kwao tangu Jumamosi ya wiki hii. Ikiwa ni siku zaidi ya tano sasa.

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages