Breaking News

Your Ad Spot

Mar 7, 2011

KITUO CHA UJAMAA ART GALLERY CHAFUNGULIWA DAR

MEYA wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, akikata utepe kuzindua kituo cha Ujamaa art  Gallery, kilichopo,Kinondoni, Barabara ya Ali Hassani Mwinyi mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Lorna Mashimba
Wadau waki-chat  nje ya kituo hicho baada ya ufunguzi
Wasanii wakitumbuiza kwa ngoma ya kimakonde, wakati wa sherehe ya uzinduzi huo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages