Breaking News

Your Ad Spot

Mar 7, 2011

WANAODAIWA KULA DILI LA KUINGIZA NCHINI TANZANIA HEROIN ZA BILIONI 2.8 WATINGA MAHAKAMANI LEO

RAIA wanne wa  kigeni, Dennis Okechukwu na Paul Obi wote  wa Nigeria, Stani Hycenth wa Afrika Kusini na Shoaib Muhammad Ayaz kutoka Pakistan wakitoka kusomewa  mashitaka ya kula njama na kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya heroin zenye thamani ya sh. bilioni 2.8, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mjini Dar es Salaam, leo. (Picha na Chachandudaily.blogspot.com).

1 comment:

  1. Hivi kwanini dunia hailichukulii hili kama janga la dunia na kuhakikisha wanapiga vita viwanda vyote vinavyotengeneza na kugundua kifaa kinachoweza kugundua wapi kiwanda kipi na nani kabeba!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages