Breaking News

Your Ad Spot

Mar 9, 2011

WARSHA YA MAZINGIRA ARUSHA

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha,Twalieli Mchome, akifungua warsha ya Wadau kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, mjini Arusha, jana. Kulia Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Richard Muyungi na kushoto ni Ofisa Mwandamizi Mazingira, Patrick Ndaki.(Picha na Ali Meja).

1 comment:

  1. Hili ni swala nyeti sana, lakini nawaomba tusibakie mazungumzo, kwani mazingira yanaharibika, kuna mabomu, ukataji miti ovyo, moto, na sasa `mishumaa'na majenerator inaharibu sana mazingira..

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages