Wanamuziki 13 wa bendi ya muziki wa taarab ya Five Stars wamekufa baada ya basi lao kugonga lori la mbao usiku wa kuamkia leo, katika eneo la Mikumi nje kidogo ya mji wa Mororogoro. Wanamuziki hao walikuwa wanatoka mjini Mbeya katika onyesho la muziki. Habari zilizopatikana Mwanahawa Ally ni miongoni mwa walionusurika.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269