Breaking News

Your Ad Spot

Mar 21, 2011

MWAKILISHI wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) wilaya ya Bagamoyo, Sheikh Jambia Mwikali, akijiorodhesha katika daftari la mahudhurio, ya semina ya watumiaji wa huduma za mawasiliano, iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), leo mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani. Semina hiyo ilihudhuria na wadau kutoka makundi bali mbali ya kijamii wilayani humo. Kushoto ni Katibu Mhutasi wa TCRA, Rebecca Mawolle.
MENEJA Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasilano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy (kulia) akitoa mada  kuhusu wajibu wa TCRA, katika semina ya watumiaji wa huduma za mawasiliano, iliyofanyika  leo, mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo  Magesa Mulongo akifungua semina hiyo
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudguria semina hiyo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages