Breaking News

Your Ad Spot

Mar 21, 2011

JK ATEMBELEA WIZARA YA MAGUFULI NA MWAKYEMBE

Waziri wa Ujenzi John Magufuli akimsomea taarifa Rais Jakaya Kikwete alipotembelea makao makuu ya wizara hiyo mjini Dar es Salaam, leo
Baadhi ya watendaji wa wizara hiyo wakiwa kwenye mkutano na Rais Kikwete
Rais Kikwete akizungumza na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli (kushoto) na Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harisson Mwakyembe, alipowasili kwenye ofisi za wizara hiyo leo (Picha zote kutoka blogu ya Issamichuzi )

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages