.

JK APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA SOMALIA

Apr 6, 2011

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalum wa Rais wa Somalia ulioletwa Iikulu jijini Dar es Salaam na mjumbe maalum wa Rais huyo Bwana Mursal Saney ambaye pia ni mkuu wa itifaki wa Somalia.Baadaye mjumbe huyo alifanya mazungumzo mafupi na Rais Kikwete(picha na Freddy Maro) 
Rais Kikwete akizungumza na ugeni huo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช