.

JK AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA KATIBU MKUU WA TRAWU

Apr 6, 2011

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu mkuu wa TRAWU Marehemu Sylvester Raphael Rwegasira wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo  katika makaburi ya Kinondoni  jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sylvester Rwegasira wakati  wa mazishi yake yaliyofanyika leo jioni katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro).

 

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช