.

SIMBA YAKWAA KISIKI: YATOKA 1-1

Apr 6, 2011

MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba Patrick Ochan (kushoto) akipamabana na beki wa JKT Ruvu Amos Mugisa, timu hizo, zilipomenyana leo kwenye Uwanja wa  Uhuru, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1. 
Refa Klina Kabala akimtwanga kadi nyekundu kipa wa timu hiyo, Shabani Dihile baada ya kipa na wachezaji wenzake kumzonga kwa madai ya kuchezesha vibaya

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช